"Kidhibiti cha Vitambulisho"
"Ghairi"
"Endelea"
"Hifadhi vingine"
"Pata maelezo zaidi"
"Onyesha nenosiri"
"Ficha nenosiri"
"Salama zaidi ukitumia funguo za siri"
"Kwa kutumia funguo za siri, huhitaji kuunda au kukumbuka manenosiri changamano"
"Funguo za siri ni funguo dijitali zilizosimbwa kwa njia fiche unazounda kwa kutumia alama yako ya kidole, uso au mbinu ya kufunga skrini"
"Vyote huhifadhiwa kwenye kidhibiti cha manenosiri, ili uweze kuingia katika akaunti kwenye vifaa vingine"
"Maelezo zaidi kuhusu funguo za siri"
"Teknolojia isiyotumia manenosiri"
"Funguo za siri zinakuruhusu uingie katika akaunti bila kutegemea manenosiri. Unahitaji tu kutumia alama yako ya kidole, kipengele cha utambuzi wa uso, PIN au mchoro wa kutelezesha ili kuthibitisha utambulisho wako na kuunda ufunguo wa siri."
"Kriptografia ya funguo za umma"
"Kulingana na Muungano wa FIDO (unaojumuisha Google, Apple, Microsoft na zaidi) na viwango vya W3C, funguo za siri hutumia jozi ya funguo za kriptografia. Tofauti na jina la mtumiaji na mfuatano wa herufi tunazotumia kwa ajili ya manenosiri, jozi ya funguo binafsi na za umma imeundwa kwa ajili ya programu au tovuti. Ufunguo binafsi hutunzwa kwa usalama kwenye kifaa chako au kidhibiti cha manenosiri na huthibitisha utambulisho wako. Ufunguo wa umma hushirikiwa na seva ya programu au tovuti. Ukiwa na funguo zinazolingana, unaweza kujisajili na kuingia katika akaunti papo hapo."
"Ulinzi wa akaunti ulioboreshwa"
"Kila ufunguo umeunganishwa kwa upekee na programu au tovuti husika, kwa hivyo kamwe huwezi kuingia katika akaunti ya programu au tovuti ya kilaghai kwa bahati mbaya. Pia, kwa kuwa seva huhifadhi tu funguo za umma, udukuzi si rahisi."
"Mabadiliko rahisi"
"Tunavyoelekea katika enzi isiyo ya manenosiri, manenosiri yataendelea kupatikana pamoja na funguo za siri."
"Chagua ambako unahifadhi %1$s"
"Chagua kidhibiti cha manenosiri ili uhifadhi taarifa zako na uingie kwenye akaunti kwa urahisi wakati mwingine"
"Ungependa kubuni ufunguo wa siri wa kuingia katika akaunti ya %1$s?"
"Ungependa kuhifadhi nenosiri la kuingia katika akaunti ya %1$s?"
"Ungependa kuhifadhi maelezo ya kuingia katika akaunti ya %1$s?"
"ufunguo wa siri"
"nenosiri"
"funguo za siri"
"manenosiri"
"michakato ya kuingia katika akaunti"
"maelezo ya kuingia katika akaunti"
"Hifadhi %1$s kwenye"
"Ungependa kuunda ufunguo wa siri kwenye kifaa kingine?"
"Ungependa kuhifadhi nenosiri kwenye kifaa kingine?"
"Ungependa kuhifadhi kitambulisho cha kuingia katika akaunti kwenye kifaa kingine?"
"Ungependa kutumia %1$s kwa ajili ya michakato yako yote ya kuingia katika akaunti?"
"Kidhibiti hiki cha manenosiri cha %1$s kitahifadhi manenosiri na funguo zako za siri ili kukusaidia uingie katika akaunti kwa urahisi"
"Weka iwe chaguomsingi"
"Mipangilio"
"Tumia mara moja"
"Manenosiri %1$s • Funguo %2$s za siri"
"Manenosiri %1$s"
"Funguo %1$s za siri"
"Kitambulisho cha %1$s"
"Ufunguo wa siri"
"Kifaa kingine"
"Vidhibiti vinginevyo vya manenosiri"
"Funga laha"
"Rudi kwenye ukurasa uliotangulia"
"Funga"
"Ondoa"
"Tumia ufunguo wako wa siri uliohifadhi wa %1$s"
"Tumia nenosiri lako ulilohifadhi la %1$s"
"Tumia akaunti yako ya %1$s"
"Tumia mbinu yako ya kufunga skrini kuingia katika akaunti ya %1$s ukitumia %2$s"
"Fungua chaguo za kuingia katika akaunti ya %1$s"
"Chagua ufunguo wa siri uliohifadhiwa ambao ungependa kutumia kuingia katika %1$s"
"Chagua nenosiri lililohifadhiwa ambalo ungependa kutumia kuingia katika %1$s"
"Chagua vitambulisho vilivyohifadhiwa ambavyo ungependa kutumia kuingia katika %1$s"
"Chagua akaunti ya %1$s"
"Ungependa kuteua chaguo la %1$s?"
"Ungependa kutumia maelezo haya kwenye %1$s?"
"Ingia katika akaunti kwa kutumia njia nyingine"
"Angalia chaguo"
"Endelea"
"Chaguo za kuingia katika akaunti"
"Angalia zaidi"
"Kwa ajili ya %1$s"
"Vidhibiti vya manenosiri vilivyofungwa"
"Gusa ili ufungue"
"Hakuna maelezo ya kuingia katika akaunti"
"Hakuna maelezo ya kuingia katika akaunti kwenye %1$s"
"Dhibiti michakato ya kuingia katika akaunti"
"Kutoka kwenye kifaa kingine"
"Tumia kifaa tofauti"
"Ombi lilighairiwa na %1$s"
"Chaguo za kuingia katika akaunti"
"Zaidi"