"Mipangilio ya Kazini"
"Lo!"
"Weka mipangilio ya wasifu wa kazini"
"Shirika lako linadhibiti kifaa chako na kukiweka salama. Unadhibiti vitu vingine vyote kwenye kifaa chako."
"Shirika lako litadhibiti kifaa hiki na kukiweka salama."
"Programu ifuatayo itahitaji kufikia wasifu huu:"
"Programu zifuatazo zitadhibiti kifaa chako:"
"Inayofuata"
"Inaweka mipangilio ya wasifu wa kazini..."
"Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa maudhui ya shirika, programu, ruhusa, data na shughuli ya mtandao inayohusiana na wasifu huu, pamoja na rekodi ya simu zilizopigwa na historia ya anwani ulizotafuta. Wasiliana na Msimamizi wako wa TEHAMA kwa maelezo zaidi pamoja na kupata maelezo zaidi kuhusu sera za faragha za shirika lako."
"Msimamizi wako wa TEHAMA ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa maudhui ya shirika, programu, ruhusa na data inayohusiana na %1$s hii, ikiwa ni pamoja na shughuli zako za mtandaoni, pamoja na mahali kilipo kifaa chako, rekodi ya simu zilizopigwa na historia ya anwani ulizotafuta.
Wasiliana na Msimamizi wako wa TEHAMA kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako."
"Ili utumie vipengele vya kifaa vya kuzuia wizi, lazima uwe na skrini inayoweza kufungwa kwa nenosiri kwenye kifaa chako."
"Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako."
"Pata maelezo zaidi"
"Ghairi"
"Sawa"
"Ninakubali"
"Kiungo hiki hakiwezi kuonyeshwa."
"Sogeza juu"
"Sheria na masharti"
"Maelezo ya wasifu wa kazini"
"Maelezo kuhusu kifaa kinachosimamiwa"
"Wasifu wa kazini"
"Ifute wasifu uliopo?"
"Tayari una wasifu wa kazini. Unadhibitiwa kwa kutumia programu ifuatayo:"
"Kabla ya kuendelea, ""soma hapa""."
"Ukiendelea, utafuta data na programu zote zilizo kwenye wasifu huu."
"Futa"
"Ghairi"
"Ili kuweka wasifu wako wa kazini, unahitaji kusimba %1$s yako kwa njia fiche. Huenda shughuli hii ikachukua muda."
"Ili uweke mipangilio kwenye %1$s hii, unahitaji kuisimba kwanza kwa njia fiche. Huenda shughuli hii ikachukua muda."
"Ungependa kusimba kifaa hiki kwa njia fiche?"
"Simba kwa njia fiche"
"Usimbaji fiche umekamilika"
"Gusa ili uendelee kuweka mipangilio ya wasifu wako wa kazini"
"Haikuweza kusanidi wasifu wako wa kazi. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari au ujaribu tena baadaye."
"Imeshindwa kuongeza wasifu wa kazini"
"Huwezi kubadilisha au kuondoa wasifu wa kazini"
"Wasifu wa kazini hauwezi kuwekwa kwenye %1$s hii. Ikiwa una maswali, wasiliana na Msimamizi wako wa TEHAMA."
"Badilisha kifungua programu cha kifaa"
"Wasifu wako wa kazini hauwezi kutumia kifungua programu hiki"
"Ghairi"
"Sawa"
"Usanidi wa Mtumiaji Hujakamilika"
"Mtumiaji wa kifaa cha kazini"
"Inaweka mipangilio kwenye kifaa cha kazini..."
"%1$s hii hairuhusu usimbaji fiche, unaohitajika kwa ajili ya kuweka mipangilio. Ili upate usaidizi, wasiliana na Msimamizi wako wa TEHAMA."
"Ungependa kusitisha mchakato wa kuweka mipangilio na kurejesha mipangilio ambayo %1$s ilitoka nayo kiwandani?"
"Hatua hii itarejesha mipangilio ambayo %1$s ilitoka nayo kiwandani na kukurudisha kwenye skrini ya kwanza"
"Je, ungependa kuacha kusanidi na ufute data iliyomo kwenye kifaa chako?"
"Ghairi"
"Sawa"
"Weka upya"
"Imeshindwa kuweka wasifu"
"Imeshindwa kuweka mipangilio ya kifaa"
"Hitilafu fulani imetokea"
"Imeshindwa kuweka mipangilio ya kifaa. Ili upate usaidizi, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA."
"Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA ili upate usaidizi"
"Badilisha mipangilio ya %1$s hii kisha ujaribu kuiweka tena"
"%1$s tayari ina mipangilio"
"Imeshindwa kuunganisha kwenye Wi-Fi"
"Kipengele cha kuzuia kuweka upya mipangilio kimewashwa katika %1$s yako. Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA ili upate usaidizi."
"Inafuta"
"Tafadhali subiri..."
"Imeshindwa kutumia programu ya msimamizi kutokana na hitilafu ya \"checksum\". Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA ili upate usaidizi."
"Imeshindwa kupakua programu ya msimamizi"
"Imeshindwa kutumia programu ya msimamizi. Vipengele havipo au vina hitilafu. Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA ili upate usaidizi."
"Imeshindwa kusakinisha programu ya msimamizi"
"Ungependa kuacha kusanidi?"
"Hapana"
"Ndiyo"
"Inaghairi…"
"Je, ungependa kuacha kuweka mipangilio ya kifaa chako?"
"Unaweza kuweka wasifu wako wa kazini baadaye katika programu ya kudhibiti kifaa cha shirika lako"
"Endelea"
"Simamisha"
"Ondoa"
"Unakaribia kuunda wasifu wa kazini ambao utadhibitiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti yatatumika."
"Unakaribia kuunda wasifu wa kazini ambao utasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti kutoka yatatumika."
"Wasifu utaundwa kwa ajili ya programu zako za kazini. Wasifu huu na sehemu zingine za kifaa chako, zitasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti yatatumika."
"Wasifu utaundwa kwa ajili ya programu zako za kazini. Wasifu huu na sehemu zingine za kifaa chako zitasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti kutoka yatatumika."
"Kifaa hiki kitadhibitiwa, kuchunguzwa na kulindwa na %1$s. Sheria na masharti yatatumika. %2$s"
"Kifaa hiki kitadhibitiwa, kuchunguzwa na kulindwa na %1$s. Sheria na Masharti kutoka yatatumika. %3$s"
"Kiungo hiki si salama na hakiwezi kufunguliwa hadi umalize kuweka mipangilio ya kifaa: %1$s"
"Ili upate maelezo zaidi, wasiliana na %1$s."
"Ikiwa una maswali, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA"
"Haijamaliza kuweka mipangilio. Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA ili upate usaidizi."
"Ili upate usaidizi, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA"
"Msimamizi wa TEHAMA"
"%1$s itadhibiti na kufuatilia kifaa hiki kwa kutumia programu ifuatayo:"
"Shirika lako"
"shirika lako"
"Angalia sheria na masharti"
"Kubali na uendelee"
"Nyuma"
"Weka mipangilio ya kifaa chako"
"Badilisha jinsi unavyofanya kazi"
"Tenganisha data ya kazini na ya binafsi"
"Sehemu moja ya kuweka programu za kazini"
"Zima kipengele cha kazini utakapomaliza"
"Inaandaa"
"Inasanidi vyeti vya CA"
"Weka wasifu wako"
"Kwa kutumia wasifu wa kazini, unaweza kutenganisha data ya kazini na data ya binafsi"
"Kwa kutumia wasifu wa kazini, unaweza kuweka programu zako za kazini mahali pamoja"
"Weka mipangilio ya wasifu wako. Usimbaji fiche"
"Weka mipangilio ya wasifu wako. Inaonyesha maendeleo"
"Weka mipangilio ya %1$s yako"
"Weka mipangilio ya %1$s yako. Usimbaji fiche"
"Weka mipangilio ya %1$s yako. Inaonyesha hatua"
"Kitufe cha pata maelezo zaidi"
"Aikoni ya %1$s"
"Sehemu ya kichwa cha %1$s."
"Sehemu ya maudhui ya %1$s: %2$s"
"Panua"
"Kunja"
"Fikia orodha ya viungo"
"Fikia viungo"
"Fikia sheria na masharti"
"Soma masharti"
"Funga orodha"
"Iache kusasisha mipangilio na irejeshe hali iliyotoka nayo kiwandani?"
"Hatua ya kufunga shughuli hii ya kuweka mipangilio itarejesha kifaa chako katika hali iliyotoka nayo kiwandani na kuleta skrini ya kwanza."
"Ghairi"
"Weka mipangilio ya kifaa upya"
"%1$s na %2$s"
"%1$s na %2$s"
"%1$s, %2$s"
"%1$s, %2$s"
"Hatua hii inaweza kuchukua dakika kadhaa"
"Programu zako za kazini zitahifadhiwa katika wasifu huu na kusimamiwa na shirika lako"
"Kifaa hiki kitawekwa salama na kusimamiwa na shirika lako"
"Inajiandaa kuweka mipangilio kwenye kifaa cha kazini…"
"Inaweka mipangilio ya programu ya msimamizi"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako"
"Programu ifuatayo itatumika kudhiiti na kufuatilia simu hii"
"Akaunti yako inadhibitiwa"
"Msimamizi wako wa TEHAMA hutumia kidhibiti cha vifaa vya mkononi ili kutekeleza sera za usalama"
"Inajiandaa ili kuweka mipangilio ya kazini…"
"Turuhusu tuweke wasifu wako wa kazini"
"Programu za kazini zinawekwa kwenye wasifu wako wa kazini"
"Simamisha programu za kazini unapoondoka kazini"
"Msimamizi wako wa TEHAMA anaona data iliyo kwenye wasifu wako wa kazini"
"Wasifu wako wa kazi unawekwa…"
"Programu za kazini zinawekwa kwenye wasifu wako wa kazini. Unaweza kusimamisha programu zako za kazini unapoondoka kazini. Msimamizi wako wa TEHAMA anaona data iliyo kwenye wasifu wako wa kazini."
"Tuweke mipangilio kwenye kifaa chako cha kazini"
"Tumia programu zako za kazini popote ulipo"
"%1$s si ya faragha"
"Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kuona data na shughuli zako kwenye %1$s hii."
"Shughuli na data yako"
"Ruhusa za programu"
"Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kuweka ruhusa za programu kwenye %1$s hii, kama vile ruhusa za maikrofoni, kamera na mahali."
"Inaweka mipangilio ya kifaa chako…"
"Tumia %1$s hii kufikia programu zako za kazini kwa urahisi. %1$s hii si ya faragha, kwa hivyo Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kuona data na shughuli zako."
"Tumia %1$s hii kufikia programu zako za kazini kwa urahisi. %1$s hii si ya faragha, kwa hivyo Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kuona shughuli na data yako. Pia, Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kuweka ruhusa za programu kwenye kifaa hiki, kama vile ruhusa za maikrofoni, kamera na mahali."
"Rejesha kifaa hiki kwa msimamizi wako wa TEHAMA"
"Rudi kwenye skrini iliyotangulia, au ubadilishe mipangilio ya kifaa hiki na ukirejeshe kwa msimamizi wako wa TEHAMA."
"Ghairi mipangilio"
"Badilisha mipangilio na urejeshe kifaa"
"Haiwezi kuweka mipangilio ya kifaa"
"Kifaa hiki hakiwezi kuandikishwa katika hali ya usimamizi kamili. Rejesha mipangilio ya kiwandani na uwasiliane na Msimamizi wako wa TEHAMA."
"Rejesha mipangilio ya kiwandani"
"Programu za kazini ni za wasifu wa kazini, hudhibitiwa na msimamizi TEHAMA"
"Programu za binafsi huwa kando na hazionyeshwi kwenye za kazini"
"Msimamizi TEHAMA anaweza kudhibiti kifaa na kuzuia programu"
"Programu za kazini huwekwa kwenye wasifu wako wa kazini na kudhibitiwa na msimamizi wako wa TEHAMA. Programu za binafsi ni tofauti na hazionyeshwi kwenye programu za kazini. Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kudhibiti %1$s hii na kuzuia programu fulani."
"Subiri kidogo…"
"Kikumbusho cha faragha"
"Msimamizi wako wa TEHAMA anaweza kuona data na shughuli zako kwenye %1$s hii"
"%1$s hii imetolewa na %2$s"
"Lipia %1$s hii"
"%1$s inaweza kusakinisha programu ya %2$s ili uweze kulipia %3$s hii."
"%1$s hii inaweza kudhibitiwa"
"%1$s inaweza kudhibiti ufikiaji wa %2$s hii usipofanya malipo."
"Imeshindwa kuweka mipangilio ya %1$s. Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA na urejelee \"Alama ya kuthibitisha uhalali si sahihi\"."
"Jaribu tena baadaye au wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA ili upate usaidizi"
"Imeshindwa kuweka mipangilio ya %1$s. Wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA na urejelee \"Vipengele havipo au vina hitilafu\"."
"Inaweka mipangilio…"