"kufikia API ya Mada za AdServices"
"Huruhusu programu kufikia API ya Mada za AdServices."
"kufikia API za Maelezo za AdServices"
"Huruhusu programu kufikia API za Maelezo za AdServices."
"kufikia API ya Hadhira Maalumu ya AdServices"
"Huruhusu programu kufikia API ya Hadhira Maalumu ya AdServices."
"Uwezo wa kufikia AdId API"
"Huruhusu programu kufikia AdId API."
"fikia API ya Idhini za AdServices"
"Inaruhusu programu kufikia API ya Idhini za AdServices."
"Kufikia API ya Kitambulisho cha Tangazo"
"Huruhusu programu kufikia API ya Kitambulisho cha Tangazo."
"Ufikiaji wa API ya Upakiaji ya AdServices Cobalt"
"Huruhusu programu kufikia API ya Upakiaji ya AdServices Cobalt."
"Kufikia API ya Kitambulisho cha Kundi la Programu"
"Hurusu programu kufikia API ya Kitambulisho cha Kundi la Programu."
"Uwezo wa kufikia API ya Idhini ya Huduma"
"Inaruhusu programu kufikia API ya Idhini ya Huduma."
"Ufikiaji wa enablement state modification API ya AdService"
"Inaruhusu programu kufikia enablement state modification API ya AdService."
"Ufikiaji wa enablement state API ya AdService"
"Inaruhusu programu kufikia enablement state API ya AdService."
"Uwezo wa kufikia API za AdServicesManager’s"
"Inaruhusu programu kufikia API za AdServicesManager."
"Kufikia API ya AdService ya kusasisha kitambulisho cha tangazo."
"Huruhusu programu kufikia API ya AdService ya kusasisha kitambulisho cha tangazo."
"Faragha ya Matangazo"
"Jiunge na toleo la beta la faragha ya matangazo kwenye Android"
"Android inaendelea kugundua njia za faragha zaidi za programu kukuonyesha matangazo"
"Pata maelezo zaidi"
"Toleo la beta la faragha ya matangazo kwenye Android"
"Mambo mapya"
"Vipengele vipya vya faragha katika Mazingira ya Faragha huwezesha programu zikuonyeshe matangazo yanayokufaa zaidi, lakini huzuia mambo ambayo programu hizo zinaweza kujifunza kuhusu shughuli zako kwenye tovuti na programu za wasanidi programu wengine."
"Jinsi inavyofanya kazi"
"Jinsi ya kushiriki"
"Kuwasha toleo la beta huwezesha programu kujaribu njia hizi mpya zenye faragha zaidi ili zikuonyeshe matangazo. Unaweza kuzima toleo la beta wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha."
"Hapana"
"Washa"
"Zaidi"
"Asante kwa kushiriki"
"Umejiunga kwenye toleo la beta la faragha ya matangazo kwenye Android. Kipengele cha Mazingira ya Faragha kimewashwa kwenye kifaa chako.\n\nUnaweza kupata maelezo zaidi au kuzima toleo la beta wakati wowote katika mipangilio ya faragha."
"Umechagua kutoshiriki"
"Asante kwa jibu lako. Kipengele cha Mazingira ya Faragha kimezimwa kwenye kifaa chako.\n\nIwapo utabadili mawazo yako au utataka kupata maelezo zaidi, nenda kwenye mipangilio ya faragha."
"Mipangilio ya faragha"
"Umejiunga kwenye toleo la beta"
"Kipengele cha Mazingira ya Faragha kimewashwa kwenye kifaa chako, na programu zinaweza kujaribu njia hizi mpya zenye faragha zaidi ili zikuonyeshe matangazo. Unaweza kuzima toleo la beta wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha."
"Nimeelewa"
"Mazingira ya Faragha katika Android yanakupa vipengele vipya ambavyo programu zinaweza kutumia ili zikuonyeshe matangazo ambayo huenda ukayapenda. Teknolojia hizi hazitumii vitambulishi vya kifaa.\n\nAndroid na programu zako zinaweza kukadiria aina ya matangazo ambayo huenda yakakuvutia, na kuhifadhi mambo yanayokuvutia kwa muda kwenye kifaa chako. Hali hii huwezesha programu zikuonyeshe matangazo ambayo huenda ukayapenda, bila kufuatilia shughuli zako kwenye tovuti na programu za wasanidi programu wengine."
"Kuweka mapendeleo ya matangazo kupitia Mazingira ya Faragha"
"• Mambo yanayokuvutia yaliyokadiriwa na Android"
"Mara kwa mara, Android hukadiria mambo makuu yanayokuvutia kulingana na programu unazotumia, kwa mfano, \"Michezo\" au \"Safari.\" \n\nHapo baadaye, programu inaweza kuiomba Android ruhusa ya kutumia mambo hayo yanayokuvutia ili ikuonyeshe matangazo yanayokufaa zaidi.\n\nUnaweza kuangalia orodha ya mambo yanayokuvutia hivi sasa kwenye mipangilio ya faragha, na kuzuia jambo lolote lisilokuvutia."
"• Mambo yanayokuvutia yaliyokadiriwa na programu"
"Programu zinaweza kukadiria mambo yanayokuvutia na kuyahifadhi kwa muda kwenye Android. Kwa mfano, programu unayotumia kununua viatu vya mazoezi ya kukimbia huenda ikakadiria jambo linalokuvutia kuwa \"kukimbia mbio ndefu.\"\n\nHapo baadaye, kulingana na jambo hili linalokuvutia, programu tofauti inaweza kukuonyesha tangazo linalohusiana na mbio ndefu.\n\nKatika mipangilio ya faragha, unaweza kudhibiti orodha ya programu zilizohifadhi mambo yanayokuvutia."
"Vipengele vipya vya faragha ya matangazo"
"Mada za matangazo na vidhibiti vipya vinakupa chaguo zaidi za matangazo unayoyaona"
"Vipengele vipya vya faragha ya matangazo sasa vinapatikana"
"Android hutambua mada zinazokuvutia kulingana na programu ulizozitumia hivi karibuni. Pia, programu unazotumia zinaweza kubaini mambo unayopendelea. Baadaye, programu zinaweza kuomba taarifa hizi ili kukuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo. Unaweza kuchagua ni mada na programu zipi zinatumika kukuonyesha matangazo."
"Ili kupima utendaji wa tangazo, aina chache za data hushirikiwa baina ya programu."
"Maelezo zaidi kuhusu matangazo kwenye Android"
"Matangazo muhimu zaidi"
"Programu zinaweza kuiomba Android maelezo ili kusaidia kuweka mapendeleo ya matangazo unayoyaona."
"• Android hubaini mada zinazokuvutia kulingana na programu ulizotumia hivi karibuni."
"• Programu unazotumia zinaweza pia kubainisha mambo unayopendelea kulingana na jinsi unavyozitumia. Kwa mfano, ikiwa utatumia programu inayouza viatu vya kukimbilia umbali mrefu, programu inaweza kuamua kwamba unavutiwa na kukimbia mbio za masafa marefu."
"Baadaye, programu unayotumia inaweza kuomba taarifa hizi — mada za matangazo au matangazo yanayopendekezwa na programu ulizotumia."
"Android hufuta kiotomatiki mada na data inayopendekezwa na programu mara kwa mara. Unaweza pia kuzuia mada na programu mahususi ambazo hupendi ziweke mapendekezo."
"Kupima kiwango cha utendaji wa tangazo"
"Programu unazotumia zinaweza kuiomba Android taarifa ili kuzisaidia zipime utendaji wa matangazo. Android huziwezesha programu kukusanya aina chache za data, kama vile muda wa siku ambapo ulionyeshwa tangazo."
"Jaribu kutumia vipengele vipya vya faragha ya matangazo"
"Mada za matangazo hukupatia chaguo zaidi za matangazo unayoona"
"Angalia Maelezo"
"Jaribu vipengele vipya vya faragha ya matangazo"
"Android inazindua vipengele vipya vya faragha vinavyokupatia chaguo zaidi kwa matangazo unayoona."
"Mada za matangazo husaidia programu kukuonyesha matangazo yanayofaa huku zikilinda utambulisho wako na maelezo kuhusu matumizi yako ya programu. Android inaweza kutambua mada zinazokuvutia kulingana na programu ulizotumia hivi karibuni. Baadaye, programu unayotumia inaweza kuiomba Android mada zinakuzofaa ili iweke mapendeleo kwenye matangazo unayoona."
"Unaweza kuona mada za matangazo kwenye mipangilio ya kifaa chako na kuzuia zile ambazo usingependa zishirikiwe na programu. Pia, Android hufuta kiotomatiki mada za matangazo mara kwa mara."
"Unaweza kubadilisha uamuzi wako wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha."
"Maelezo zaidi kuhusu mada za matangazo"
"Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Android inavyolinda data yako kwenye ""Sera yetu ya Faragha""."
"Jaribu"
"• Aina ya data inayotumiwa"
"Mada zako za matangazo hulingana na programu ulizotumia hivi karibuni kwenye kifaa hiki na jinsi unavyozitumia mara kwa mara."
"• Jinsi tunavyotumia data hii"
"Android hutambua mada unazopendelea kadiri unavyotumia programu zako. Lebo za mada hubainishwa mapema na hujumuisha vitu kama vile, Sanaa na Burudani, Ununuzi na Michezo. Baadaye, programu unayotumia inaweza kuiomba Android baadhi ya mada zako (lakini si data kuhusu utambulisho na taarifa zako za matumizi ya programu) ili iweke mapendeleo kwenye matangazo unayoona."
"• Jinsi unavyoweza kudhibiti data yako"
"Android hufuta kiotomatiki mada mara kwa mara. Kadiri unavyoendelea kutumia programu, mada inaweza kuonekana tena kwenye orodha. Pia, unaweza kuzuia mada ambazo hutaki Android ishiriki na programu na kuzima mada za matangazo wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha."
"Unaweza kufanya mabadiliko kwenye mipangilio ya faragha."
"Vipengele vingine vya faragha ya matangazo sasa vinapatikana"
"Android pia inakupa njia mpya za kudhibiti mambo ambayo programu zinaweza kujifunza kukuhusu zinapokuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo."
"• Matangazo yanayopendekezwa na programu husaidia kulinda utambulisho na taarifa zako za matumizi ya programu huku yakiwezesha programu kukuonyesha matangazo yanayofaa. Kulingana na shughuli zako, programu unayotumia inaweza kupendekeza matangazo yanayohusiana kwenye programu zingine. Unaweza kuona orodha ya programu na kuzizuia zisiweke mapendekezo, kwenye mipangilio ya faragha."
"• Kwa kutumia vipimo vya matangazo, aina chache za data hushirikiwa kati ya programu ili kupima utendaji wa matangazo, kama vile muda katika siku ulipoonyeshwa tangazo."
"Maelezo zaidi kuhusu matangazo yanayopendekezwa na programu na upimaji wa matangazo"
"Matangazo yanayopendekezwa na programu"
"• Aina ya data inayotumiwa"
"Shughuli yako katika programu unayotumia kwenye kifaa hiki."
"• Jinsi programu zinavyotumia data hii"
"Programu zinaweza kuhifadhi taarifa kwenye Android kuhusu mambo unayopendelea. Kwa mfano, iwapo utatumia programu iliyo na maudhui ya mafunzo ya kukimbia mbio ndefu, huenda programu ikaamua kwamba unavutiwa na viatu vya mazoezi ya kukimbia. Baadaye, ikiwa utatumia programu tofauti, programu hiyo inaweza kukuonyesha tangazo la viatu vya mazoezi ya kukimbia lililopendekezwa na programu ya kwanza."
"• Jinsi unavyoweza kudhibiti data yako"
"Android hufuta kiotomatiki data inayopendekezwa na programu mara kwa mara. Programu unayotumia tena huenda ikaonekana tena kwenye orodha."
"Pia unaweza kuzuia programu isikupendekezee matangazo, kuweka upya data yote ya mapendekezo ya matangazo au kuzima matangazo yanayopendekezwa na programu wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha."
"Programu unazotumia zinaweza kuiomba Android taarifa zinazozisaidia kupima utendaji wa matangazo kwenye programu hizo. Android hulinda faragha yako kwa kudhibiti taarifa ambazo programu zinaweza kushiriki na programu zingine."
"Vipengele vipya vya faragha ya matangazo sasa vinapatikana"
"Pata chaguo zaidi kwa matangazo unayoyaona huku ukilinda utambulisho wako"
"Vipengele vipya vya faragha ya matangazo sasa vinapatikana"
"Android inazindua njia mpya za kudhibiti mambo ambayo programu zinaweza kujifunza kukuhusu zinapokuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo."
"• Kupitia matangazo yanayopendekezwa na programu, vipengele vipya vya faragha husaidia kulinda utambulisho na maelezo yako kuhusu matumizi yako ya programu huku vikiruhusu programu zikuonyeshe matangazo yanayokufaa. Kulingana na shughuli zako, programu unayotumia inaweza kupendekeza matangazo yanayohusiana kwenye programu zingine. Unaweza kuona orodha ya programu na kuzizuia zisiweke mapendekezo katika mipangilio ya faragha."
"• Kwa kutumia upimaji wa matangazo, aina chache za data hushirikiwa kati ya programu ili kuelewa utendaji wa matangazo, kama vile wakati wa siku ulipoonyeshwa tangazo."
"Shughuli yako katika programu iliyo kwenye kifaa hiki inaweza kutumika kukupendekezea matangazo."
"Washa kipengele kingine cha faragha ya matangazo"
"Android pia ina kipengele kipya cha faragha kinachokupa chaguo zaidi kwa matangazo unayoyaona."
"Mada za matangazo husaidia programu kukuonyesha matangazo yanayofaa huku zikilinda utambulisho wako na maelezo kuhusu matumizi yako ya programu. Android inaweza kutambua mada unazopenda kulingana na programu ulizotumia hivi majuzi. Baadaye, programu unayotumia inaweza kuiomba Android mada zinazofaa ili kukuonyesha matangazo yanayokufaa zaidi."
"Unaweza kuona mada za matangazo kwenye mipangilio yako ya faragha na kuzuia mada ambazo usingependa zishirikiwe na programu. Pia, Android hufuta kiotomatiki mada za tangazo mara kwa mara."
"Washa"
"Vipengele vipya vya faragha ya matangazo sasa vinapatikana"
"Sasa kuna chaguo zaidi kwa matangazo unayoyaona huku ukilinda utambulisho wako"
"Vipengele vipya vya faragha ya matangazo sasa vinapatikana"
"Sasa Android ina vipengele vipya vya faragha vinavyokupa chaguo zaidi kwa matangazo unayoyaona."
"Endelea"
"Mazingira ya Faragha"
"Shiriki kwenye toleo la beta la faragha ya matangazo kwenye Android"
"Mazingira ya Faragha"
"Mambo yanayokuvutia yaliyokadiriwa na Android"
"Programu zinazokadiria mambo yanayokuvutia"
"Upimaji wa matangazo"
"Programu zinaweza kutumia Mazingira ya Faragha ili kupima ufanisi wa matangazo. Ili kufanya hivi, watangazaji wanaweza kuhifadhi data kwa muda katika Android kuhusu shughuli zako kwenye matangazo na programu zao. Kiasi cha data wanachoweza kuhifadhi kimedhibitiwa na kitafutwa mara kwa mara.\n\nUnaweza kufuta data hii wakati wowote kwa kuzima kipengele cha Mazingira ya Faragha."
"Mara kwa mara, Android hukadiria mambo makuu yanayokuvutia kulingana na programu unazotumia. Programu zinaweza kuiomba Android ruhusa ya kutumia mambo hayo yanayokuvutia ili zikuonyeshe matangazo yanayokufaa zaidi.\n\nIkiwa utazuia jambo linalokuvutia, jambo hilo halitawekwa tena katika orodha isipokuwa ukiondoa kizuizi. Huenda bado ukaona baadhi ya matangazo yanayohusiana."
"Zuia"
"Ondoa kizuizi"
"Mambo yanayokuvutia uliyoyazuia"
"Weka upya mambo yote yanayokuvutia"
"Hakuna mambo yanayokuvutia ya kuonyesha kwa sasa."
"Hakuna mada za kuonyesha kwa sasa.\nPata maelezo zaidi kuhusu ""mada za tangazo"
"Mazingira ya Faragha"
"Toleo la beta la faragha ya matangazo kwenye Android hutoa vipengele vipya ambavyo programu zinaweza kutumia ili zikuonyeshe matangazo ambayo huenda ukayapenda. Teknolojia hizi hazitumii vitambulishi vya kifaa.\n\nAndroid inaweza kukadiria aina ya matangazo ambayo huenda yakakuvutia na kuhifadhi mambo haya yanayokuvutia kwa muda kwenye kifaa chako. Hali hii huwezesha programu kukuonyesha matangazo yanayokufaa, bila kufuatilia shughuli zako kwenye tovuti na programu za wasanidi programu wengine."
"Huna mambo yanayokuvutia uliyozuia"
"Hakuna mada ulizozuia"
"Angalia mada ulizozuia"
"Mambo yanayokuvutia yamewekwa upya"
"Mada zimewekwa upya"
"Programu zinaweza kukadiria mambo yanayokuvutia na kuyahifadhi kwa muda kupitia Android. Hapo baadaye, programu tofauti inaweza kukuonyesha tangazo kulingana na mambo haya yanayokuvutia.\n\nIwapo utazuia programu, haitakadiria mambo yanayokuvutia. Haitawekwa tena kwenye orodha hii ya programu isipokuwa uiondolee kizuizi. Mambo yanayokuvutia yaliyoakadiriwa na programu hiyo yatafutwa, ila huenda bado ukaona baadhi ya matangazo yanayohusiana."
"Programu ulizozuia"
"Angalia programu ulizozuia"
"Weka upya mambo yanayokuvutia yaliyokadiriwa na programu"
"Huna programu zinazokadiria mambo yanayokuvutia kwa sasa"
"Hakuna programu za kuonyesha kwa sasa. \nPata maelezo zaidi kuhusu ""matangazo yanayopendekezwa na programu"
"Mazingira ya Faragha"
"Toleo la beta la faragha ya matangazo kwenye Android hutoa vipengele vipya ambavyo programu zinaweza kutumia ili zikuonyeshe matangazo ambayo huenda ukayapenda. Teknolojia hizi hazitumii vitambulishi vya kifaa.\n\nProgramu zako zinaweza kukadiria aina ya matangazo ambayo huenda yakakuvutia na kuhifadhi mambo haya yanayokuvitia kwa muda kwenye kifaa chako. Hali hii huwezesha programu kukuonyesha matangazo yanayokufaa, bila kufuatilia shughuli zako kwenye tovuti na programu za wasanidi programu wengine."
"Huna programu ulizozuia"
"Hakuna programu ulizozuia"
"Ruhusu upimaji wa matangazo"
"Programu na watangazaji wanaweza kuomba maelezo kwenye Android yatakayowasaidia kupima utendaji wa matangazo yao.\n\nData ya kupima matangazo hufutwa mara kwa mara kwenye kifaa chako."
"Weka upya data ya upimaji"
"Android hulinda faragha yako kwa kudhibiti taarifa ambazo programu zinaweza kushiriki na programu zingine. Ripoti hutumwa kwa kuchelewa ili kulinda utambulisho wako.\n\nHuenda kivinjari chako kikawa na mipangilio inayofanana. Ukiwasha kipengele cha upimaji wa matangazo kwenye Android na kwenye kivinjari chako, huenda kampuni ikaweza kupima ufanisi wa matangazo kati ya programu unazotumia na tovuti unazotembelea. Historia yako ya kuvinjari huwekwa kuwa ya faragha kwenye kifaa chako.\n\nPata maelezo zaidi kuhusu jinsi Android inavyolinda data yako katika ""Sera yetu ya Faragha""."
"Data ya upimaji wa tangazo iliwekwa upya"
"Ghairi"
"Ungependa kuzima kipengele cha Mazingira ya Faragha?"
"Iwapo utabadili mawazo yako au utataka kupata maelezo zaidi kuhusu toleo la beta la faragha ya matangazo kwenye Android, nenda kwenye mipangilio ya faragha"
"Zima"
"Ungependa kuzuia mada ya %1$s?"
"Mada hii itazuiwa na haitawekwa kwenye orodha yako tena, isipokuwa ukiiweka mwenyewe. Bado unaweza kuona baadhi ya matangazo yanayohusiana."
"Zuia"
"Umeiondolea kizuizi mada ya %1$s"
"Android inaweza ikaweka tena mada hii kwenye orodha yako, lakini huenda isionekane papo hapo"
"Sawa"
"Ungependa kuweka upya mada zote za matangazo?"
"Orodha yako itafutwa na mada mpya zitawekwa kuanzia sasa. Huenda ukaendelea kuona baadhi ya matangazo yanayohusiana na mada ulizoziweka upya."
"Weka upya"
"Ungependa kuzuia %1$s?"
"Programu hii haitapendekeza matangazo na haitawekwa tena kwenye orodha yako, isipokuwa uiondolee kizuizi. Huenda bado ukaona baadhi ya matangazo yanayohusiana."
"Umeiondolea kizuizi %1$s"
"Programu hii inaweza kukupendekezea tena matangazo, lakini huenda isionekane kwenye orodha yako papo hapo. Huenda ikachukua muda hadi uone matangazo yanayohusiana."
"Je, ungependa kuweka upya matangazo yanayopendekezwa na programu?"
"Data ya mapendekezo ya matangazo kutoka kwenye programu zilizo katika orodha yako itafutwa na programu zitapendekeza matangazo mapya kuanzia sasa. Bado unaweza kuona baadhi ya matangazo yanayohusiana."
"Data ya programu iliwekwa upya"
"Kipengele cha mada za matangazo kimewashwa"
"Android itaanza kudokeza mada zinazokuvutia, lakini inaweza kuchukua muda kwa mada zako za kwanza kuonekana."
"Ungependa kuzima kipengele cha mada za matangazo?"
"Orodha hii ya mada itafutwa. Android haitadokeza mada zinazokuvutia tena, lakini bado unaweza kuona matangazo yanayofaa."
"Umewasha matangazo yanayopendekezwa na programu"
"Huenda programu zikaanza kupendekeza matangazo. Utaona orodha ya programu pindi zitakapoanza kupendekeza matangazo."
"Ungependa kuzima matangazo yanayopendekezwa na programu?"
"Data yote ya mapendekezo ya matangazo itafutwa. Programu hazitaweza kupendekeza matangazo tena, lakini bado unaweza kuona matangazo yanayofaa."
"Kipengele cha upimaji wa matangazo kimewashwa"
"Android inaweza tu kushiriki maelezo machache kabisa na programu ili kuzisaidia programu kupima utendaji wa matangazo."
"Ungependa kuzima kipengele cha upimaji wa matangazo?"
"Ripoti zote za upimaji wa matangazo ambazo hazijashughulikiwa zitafutwa na hakuna ripoti mpya zitakazotengenezwa au kushirikiwa."
"Faragha ya matangazo"
"Mada za matangazo"
"Matangazo yanayopendekezwa na programu"
"Android hutambua mada zinazokuvutia kulingana na programu ulizotumia hivi karibuni pamoja na jinsi unavyozitumia mara kwa mara."
"Pia, programu unazotumia zinaweza kubainisha unachopenda kulingana na jinsi unavyozitumia."
"Programu unazotumia zinaweza kuiomba Android maelezo ili kuzisaidia zipime utendaji wa matangazo yao. Android huziwezesha programu kukusanya aina chache za data."
"Pata maelezo zaidi kuhusu ""faragha ya matangazo kwenye Android"
"Umewasha / mada %1$d"
"{count,plural, =1{Imewashwa / mada #}other{Zimewashwa / mada #}}"
"Imewashwa / programu %1$d"
"{count,plural, =1{Imewashwa / programu #}other{Zimewashwa / programu #}}"
"Umewasha"
"Umezima"
"Mada zinazovutia hulingana na programu ulizotumia hivi karibuni na hutumiwa na programu ili kukuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo.\n\nUnaweza kuzuia mada ambazo hungependa kushiriki kwenye programu. Android pia hufuta mada kiotomatiki mara kwa mara .\n\nIngawa kipengele hiki kinaweza kuwashwa, huenda usione orodha ya mada hadi kipengele hiki kipatikane kikamilifu na programu zianze kukitumia."
"Ruhusu mada za matangazo"
"Mada za matangazo ulizozuia"
"Weka upya mada zote za matangazo"
"Android hutambua mada unazopendelea kulingana na programu ulizotumia wiki kadhaa zilizopita.\n\nPia, programu unayotumia inaweza kuomba mfumo wa Android mada unazopendelea ili kuweka mapendeleo ya matangazo unayoyaona. Android hushiriki hadi mada 3 huku ikilinda utambulisho na taarifa zako za matumizi ya programu.\n\nAndroid hufuta mada kiotomatiki mara kwa mara. Kadiri unavyoendelea kutumia programu, huenda mada ikaonekana tena kwenye orodha. Au unaweza kuzuia mada ambazo hutaki Android ishiriki kwenye programu.\n\nKwenye programu zako, tangazo unaloliona huenda likawekewa mapendeleo, kulingana na mipangilio hii, mipangilio ya matangazo yanayopendekezwa na programu, mipangilio yako ya kitambulisho cha matangazo na iwapo programu unayotumia inaweka mapendeleo ya matangazo."
"Ruhusu matangazo yanayopendekezwa na programu"
"Programu unazotumia zinaweza kubainisha unachopenda kisha kupendekeza matangazo kwenye programu nyingine.\n\nUnaweza kuzuia programu kuweka mapendekezo. Android pia hufuta kiotomatiki data inayopendekezwa na programu mara kwa mara.\n\nIngawa kipengele hiki kinaweza kuwashwa, huenda usione orodha ya mada hadi kipengele hiki kipatikane kikamilifu na programu zianze kukitumia."
"Programu ulizozuia"
"Weka upya data inayopendekezwa na programu"
"Ni kawaida kwa programu unazotumia kukumbuka mambo yanayokuvutia ili kuweka mapendeleo kwenye matumizi yako. Programu zinaweza pia kuhifadhi maelezo kwenye Android kuhusu mada zako.\n\nKwa mfano, ikiwa unatumia programu inayohusu mafunzo ya mbio, programu inaweza kuamua kuwa unavutiwa na viatu vya mazoezi ya kukimbia. Baadaye, ukitumia programu tofauti, programu hiyo inaweza kukuonyesha tangazo la viatu vya mazoezi ya kukimbia lililopendekezwa na programu ya kwanza.\n\nAndroid hufuta kiotomatiki data iliyopendekezwa na programu mara kwa mara. Huenda programu unayotumia tena ikaonekana tena kwenye orodha. Au unaweza kuizuia programu isikupendekezee matangazo.\n\nKwenye programu zako, tangazo unaloona linaweza kuwekewa mapendeleo, kulingana na mipangilio hii, mipangilio ya mada za matangazo, mipangilio ya kitambulisho chako cha matangazo na ikiwa programu unayotumia inaweka mapendeleo kwenye matangazo."
"Kipengele kipya cha faragha ya matangazo kinapatikana sasa"
"Data mahususi pekee ndiyo hushirikiwa kati ya programu ili kusaidia kupima utendaji wa matangazo"
"Tunazindua kipengele kipya cha faragha ya matangazo kinachojulikana kama upimaji wa matangazo. Android hushiriki data mahususi pekee kati ya programu, kama vile wakati ulipoonyeshwa tangazo, ili kuwezesha programu kupima utendaji wa matangazo."
"Unaweza kutekeleza mabadiliko kwenye mipangilio ya faragha ya matangazo."
"Programu unazotumia zinaweza kuomba idhini ya kufikia data mahususi kwenye Android ili kuziwezesha kupima utendaji wa matangazo. Android huziwezesha programu kukusanya aina chache tu za data."
"Vipengele vipya vya faragha ya matangazo"
"Pata uwezo zaidi wa kuchagua matangazo ambayo ungependa kuyaona huku ukisaidia kulinda utambulisho wako"
"Masasisho ya vipengele vyako vya faragha ya matangazo"
"Pata uwezo zaidi wa kuchagua matangazo ambayo ungependa kuyaona huku ukisaidia kulinda utambulisho wako"
"Android inapanua vipengele vya faragha ya matangazo ili kudhibiti aina ya taarifa ambazo programu zinaweza kupata kukuhusu zinapokuonyesha matangazo yaliyowekewa mapendeleo."
"Programu na washirika wake wa utangazaji wanaweza kutumia shughuli zako kwenye programu nyingine katika kifaa hiki kuweka mapendeleo kwenye matangazo huku wakiendelea kusaidia kuimarisha faragha na usalama wa utambulisho wako."
"Maelezo zaidi kuhusu matangazo yanayopendekezwa na programu"
"Aina chache za data hutumwa kati ya programu ili kuelewa utendaji wa matangazo yao, kama vile wakati wa siku ulipoonyeshwa tangazo."
"Maelezo zaidi kuhusu upimaji wa matangazo"
"Mada unazopendelea za madokezo ya Android kulingana na programu ulizotumia hivi majuzi. Pia, programu na washirika wake wa utangazaji wanaweza kutumia shughuli zako kwenye programu nyingine katika kifaa hiki kuwekea matangazo mapendeleo huku wakiendelea kusaidia kuweka utambulisho wako ukiwa wa faragha na salama."
"• Programu unazotumia zinaweza pia kubainisha unachopenda kulingana na shughuli zako kwenye programu. Kwa mfano, iwapo unatumia programu za upishi mara kwa mara, unaweza kuona matangazo ya huduma za kukuletea bidhaa za matumizi ya mapishi mahali ulipo au maudhui yanayohusiana katika programu nyingine. \n\nProgramu zinaweza kuhifadhi maelezo haya kwa usalama ili yatumike tu na washirika wake wa utangazaji kuwekea matangazo mapendeleo kwenye programu nyingine."
"Baadaye, programu unayotumia inaweza kuomba maelezo haya, iwe ni mada za matangazo yako au matangazo yaliyopendekezwa na programu ulizotumia."
"Programu unazotumia zinaweza kuiomba Android taarifa ili kuzisaidia kupima utendaji wa matangazo. Android hulinda faragha yako kwa kudhibiti taarifa ambazo programu zinaweza kutumiana."
"Ni aina gani ya data inayotumiwa?"
"Programu unazotumia zinaweza kuiomba Android taarifa zinazozisaidia kupima utendaji wa matangazo yao. Android hulinda faragha yako kwa kudhibiti taarifa ambazo programu zinaweza kutumiana."
"Je, utambulisho wangu unalindwaje?"
"Android hutumia hatua nyingi za faragha kama vile ujumlishaji na ubadilishaji wa thamani za data bila mpangilio maalum ili kudhibiti maelezo ambayo programu zinaweza kutumiana na kusaidia kulinda utambulisho wako.\n\nPia, data ya upimaji wa matangazo hufutwa mara kwa mara kwenye kifaa chako."
"Shughuli zako kwenye programu zinaweza kutumika kukupendekezea matangazo."
"Je, programu hutumiaje data hii?"
"Programu zinaweza kuhifadhi maelezo haya kwa usalama ili yatumike tu na washirika wake wa utangazaji kuweka mapendeleo katika matangazo kwenye programu nyingine. Kwa mfano, iwapo unatumia programu za upishi mara kwa mara, huenda ukaona matangazo ya huduma za kukuletea mboga na matunda mahali ulipo au maudhui yanayohusiana katika programu nyingine."
"Ninawezaje kudhibiti data hii?"
"Unaweza kuzuia programu mahususi ili zisitume shughuli zako kwa washirika wa utangazaji. Unaweza kuweka upya au kuzima matangazo yanayopendekezwa na programu wakati wowote kwenye mipangilio yako ya faragha. Android pia hufuta kiotomatiki data hii mara kwa mara."
"Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Android inavyosaidia kulinda faragha yako"
"Programu na washirika wake wa utangazaji wanaweza kutumia shughuli zako kwenye programu nyingine katika kifaa hiki kuweka mapendeleo kwenye matangazo huku wakiendelea kuimarisha faragha na usalama wa taarifa zinazokuhusu.\n\nKwa mfano, iwapo unatumia programu za upishi mara kwa mara, huenda ukaona matangazo ya huduma za kukuletea mboga na matunda mahali ulipo au maudhui yanayohusiana katika programu nyingine.\n\nAndroid hufuta kiotomatiki shughuli zako mara kwa mara, lakini unaweza pia kuzuia programu zisitume taarifa hizi kwa washirika wake wa utangazaji.\n\nIngawa kipengele hiki kinaweza kuwashwa, huenda usione orodha ya programu hadi kipengele hiki kipatikane kikamilifu na programu zianze kukitumia."
"Ni kawaida kwa programu na washirika wake wa utangazaji kukumbuka mambo yanayokuvutia ili kuweka mapendeleo kwenye hali yako ya utumiaji. Programu zinaweza kuhifadhi maelezo haya kwa usalama ili yatumiwe tu na washirika wake wa utangazaji kuonyesha matangazo kwenye programu nyingine.\n\nUnaweza kuzuia programu isitume data ya shughuli zako kwa washirika wa utangazaji. Pia, Android hufuta kiotomatiki mara kwa mara data ya shughuli inayotumwa, kwa hivyo programu unayotumia tena huenda ikaonekana tena kwenye orodha hii.\n\nHali ya iwapo tangazo unaloona limewekewa mapendeleo inaweza kutegemea vitu vingi kama vile mipangilio hii, mipangilio ya mada za matangazo, mipangilio yako ya kitambulisho cha matangazo na iwapo programu unayotumia huweka mapendeleo kwenye matangazo.\n\n""Pata maelezo zaidi kuhusu matangazo yanayopendekezwa na programu"
"Android hutumia hatua nyingi za faragha kama vile ujumlishaji na ubadilishaji wa thamani za data bila mpangilio maalum ili kudhibiti maelezo ambayo programu zinaweza kutumiana na kusaidia kulinda utambulisho wako.\n\nHuenda kivinjari chako kikawa na mipangilio sawa. Ukiwasha kipengele cha upimaji wa matangazo kwenye Android na katika kivinjari chako, huenda kampuni ikaweza kupima ufanisi wa tangazo kati ya programu unazotumia na tovuti unazotembelea. Historia yako ya kuvinjari huwekwa kuwa ya faragha kwenye kifaa chako.\n\n""Pata maelezo zaidi kuhusu upimaji wa matangazo"
"Android hunukuu mada zinazokuvutia kulingana na programu ulizotumia katika kipindi cha wiki kadhaa zilizopita.\n\nBaadaye, programu unayotumia inaweza kuomba Android maelezo ya mada zinazokuvutia ili kuweka mapendeleo kwenye matangazo unayoyaona. Android hutuma hadi mada 3 huku ikilinda utambulisho wako na maelezo kuhusu matumizi yako ya programu.\n\nAndroid hufuta mada kiotomatiki mara kwa mara. Kadiri unavyoendelea kutumia programu, huenda mada ikaonekana tena kwenye orodha. Au unaweza kuzuia mada ambazo hutaki Android itume kwenye programu nyinginezo.\n\nHali ya iwapo tangazo unaloona limewekewa mapendeleo inaweza kutegemea vitu vingi kama vile mipangilio hii, mipangilio ya matangazo yanayopendekezwa na programu, mipangilio yako ya kitambulisho cha matangazo na iwapo programu unayotumia huweka mapendeleo kwenye matangazo.\n\n""Pata maelezo zaidi kuhusu mada za matangazo"
"Mchoro unaovutia wa ishara unaowakilisha mada unazopendelea kama vile muziki, habari na michezo"
"Mchoro unaovutia wa kufuli ikiwa ndani ya duara"
"Mchoro mdogo wenye rangi nyeusi na nyeupe ulio na nukta tisa unaounda umbo mraba"
"Mchoro mdogo wenye rangi nyeusi na nyeupe ulio na umbo rahisi kama vile moyo, pembe tatu na mraba"
"Sanaa na Burudani"
"Uigizaji na Ukumbi wa Maonyesho"
"Vibonzo na Manga"
"Katuni"
"Vibonzo"
"Maonyesho na Matamasha ya Muziki"
"Dansi"
"Sekta ya Burudani"
"Burudani na Chemshabongo"
"Majaribio na Utafiti wa Burudani"
"Vichekesho"
"Picha na Video za Kuchekesha"
"Vichekesho vya Moja kwa Moja"
"Matukio ya Michezo ya Moja kwa Moja"
"Kiinimacho"
"Orodha za Filamu na Ratiba za Maonyesho ya Ukumbini"
"Filamu"
"Filamu za Mapigano na Matukio"
"Filamu za Uhuisho"
"Filamu za Kuchekesha"
"Filamu Huru na za Itikadi Fulani"
"Filamu za Kuonyesha Hali Halisi"
"Filamu za Maigizo"
"Filamu za Familia"
"Filamu za Kutisha"
"Filamu za Mahaba"
"Filamu za Kusisimua"
"Muziki na Sauti"
"Muziki wa Blues"
"Muziki wa Zamani"
"Muziki wa Country"
"Muziki wa Kielektroniki na Dansi"
"Muziki wa Jadi na Asili"
"Jazz"
"Mitiririko na Vipakuliwa vya Muziki"
"Video za Muziki"
"Ala za Muziki"
"Piano na Kibodi"
"Muziki wa Pop"
"Redio"
"Kipindi cha Mazugumzo kwenye Redio"
"Muziki wa Rap na Hip-hop"
"Muziki wa Rock"
"Muziki wa Classic Rock na Oldies"
"Muziki wa Hard Rock na wa Rock wa Kisasa"
"Muziki wa Indie na Muziki Mbadala"
"Maktaba za Sampuli na Sauti"
"Muziki wa Soul na R&B"
"Nyimbo za Filamu"
"Muziki wa Dunia"
"Muziki wa Rege na Karibi"
"Maghala ya Picha Mtandaoni"
"Video za Mtandaoni"
"Utiririshaji wa Video wa Moja kwa Moja"
"Utiririshaji wa Filamu na TV"
"Opera"
"Mwongozo na Marejeleo ya TV"
"Mitandao na Stesheni za TV"
"Vipindi na Maonyesho ya TV"
"Vichekesho vya TV"
"Makala ya TV ya Maisha Halisi na Maudhui Yasiyo ya Kubuni"
"Maigizo kwenye TV"
"Tamthilia kwenye TV"
"Maonyesho ya TV Mahususi kwa Familia"
"Vipindi vya TV vya Maisha Halisi"
"Vipindi vya TV vya Ubunifu wa Sayansi na Njozi"
"Sanaa ya Maonyesho na Usanifu"
"Usanifu"
"Upakaji rangi"
"Sanaa Digitali na ya Upigaji Picha"
"Magari"
"Malori na Matrela ya Mizigo"
"Magari ya Zamani"
"Magari Maalum na Yenye Utendaji wa Juu"
"Bei za Mafuta na Ujazaji Mafuta kwenye Magari"
"Magari (Kulingana na Aina)"
"Magari Yanayojiendesha Yenyewe"
"Vibandawazi"
"Gari la Milango Miwili"
"Gari Aina ya Hatchback"
"Magari Mahuluti na Mbadala"
"Magari ya Kifahari"
"Magari Madogo na yenye Ukubwa wa Kati"
"Pikipiki"
"Magari ya Barabara Zisizo za Lami (Off-Road)"
"Magari ya Kuchukulia Bidhaa"
"Skuta na Baiskeli Zinazotumia Mota"
"Gari Aina ya Sedan"
"Gari Aina ya Station Wagon"
"Magari Aina ya SUV na yenye Vipuri Mchanganyiko (Crossovers)"
"Magari yenye Vipuri Mchanganyiko (Crossovers)"
"Magari Makubwa na Madogo yenye Uwezo wa Kubeba Mizigo na Abiria"
"Uvutaji Magari yenye Hitilafu na Usaidizi wa Kando ya Barabara"
"Usalama wa Magari na Barabara"
"Vipuri na Vifuasi vya Magari"
"Urekebishaji na Matengenezo ya Magari"
"Ununuzi wa Magari"
"Magari Yaliyotumika"
"Maonyesho ya Magari"
"Urembo na Siha"
"Sanaa ya Mwili"
"Utunzaji wa Uso na Mwili"
"Marashi ya Mwili"
"Bidhaa za Kuogea na Kutunza Mwili"
"Urembo Nadhifu"
"Urembo na Vipodozi"
"Bidhaa za Kutunza Kucha"
"Marashi na Manukato"
"Nyembe na Vifaa vya Kunyolea"
"Mitindo na Ubunifu"
"Siha"
"Kujenga Misuli"
"Maelekezo ya Siha na Mazoezi Binafsi"
"Bidhaa za Teknolojia ya Siha"
"Huduma za Kutunza Nywele"
"Vitabu na Fasihi"
"Fasihi ya Watoto"
"Vitabu Pepe"
"Magazeti"
"Ushairi"
"Biashara na Sekta ya Viwanda"
"Utangazaji na Masoko"
"Mauzo"
"Kilimo na Elimu ya Misitu"
"Uzalishaji wa Chakula"
"Sekta ya Uzalishaji Magari"
"Sekta ya Usafiri wa Anga"
"Shughuli za Biashara"
"Mipangilio ya Kazi Inayomfaa Mfanyakazi"
"Rasilimali Watu"
"Ukopeshaji wa Biashara"
"Ujenzi na Matengenezo"
"Uhandisi wa Ujenzi"
"Sekta ya Ulinzi"
"Nishati na Huduma (za Umma na Binafsi)"
"Usambazaji na Usafishaji wa Maji"
"Sekta ya Ukarimu"
"Utengenezaji"
"Vyuma na Uchimbaji Madini"
"Fursa za Biashara na Masoko yenye Viwango Vingi (MLM)"
"Kampuni za Dawa na Bioteknolojia"
"Uchapaji na Uchapishaji"
"Biashara Rejareja"
"Mtaji wa Uwekezaji"
"Kompyuta na Vifaa vya Kielektroniki"
"Vifaa vya Kompyuta"
"Printa"
"Usalama wa Kompyuta"
"Kingavirusi na Programu Hasidi"
"Usalama wa Mtandao"
"Vifaa vya Kielektroniki vya Mtumiaji"
"Kamera na Kamkoda"
"GPS na Uelekezaji"
"Kutumia Mifumo Otomatiki Nyumbani"
"Vifaa vya Burudani vya Nyumbani"
"MP3 na Vicheza Faili za Sauti na Video Vinavyoweza Kubebeka"
"Teknolojia ya Kifaa cha Kuvaliwa"
"Kurejesha na Kuhifadhi Nakala ya Data"
"Kompyuta za Mezani"
"Kompyuta za Kupakata na Kompyuta Ndogo"
"Kushirikiana"
"Usambaaji wa Mifumo na Matumizi ya Kompyuta kwenye Wingu"
"Usanidi wa programu"
"Programu"
"Programu ya Sauti na Muziki"
"Programu ya Biashara na Tija"
"Programu ya Upangaji Ratiba na Kalenda"
"Programu ya Ushirikiano na ya Mikutano ya Video"
"Programu ya Uwasilishaji"
"Programu ya Lahajedwali"
"Programu ya Kuchakata Maneno"
"Uchapishaji katika Eneo-kazi"
"Fonti"
"Vidhibiti vya Vipakuliwa"
"Programu Dezo na Programu ya Kushirikiwa Kabla ya Kuanza Kutozwa"
"Programu ya Uhuishaji na Michoro"
"Wasaidizi Binafsi Mahiri"
"Vicheza Faili za Sauti na Video"
"Programu ya Ufuatiliaji"
"Mifumo ya Uendeshaji"
"Programu ya Kuhariri Picha na Video"
"Programu ya Kuhariri Picha"
"Programu ya Kuhariri Video"
"Huduma za Programu"
"Vivinjari"
"Fedha"
"Uhasibu na Ukaguzi"
"Mipango na Maandalizi ya Kodi"
"Shughuli za Kibenki"
"Huduma za Utumaji na Uhamishaji wa Pesa Kielekroniki"
"Mikopo na Ukopeshaji"
"Kadi za Mikopo"
"Ufadhili wa Ununuzi wa Nyumba"
"Mikopo Binafsi"
"Mikopo ya Wanafunzi na Ufadhili wa Masomo ya Chuo"
"Mipango na Usimamizi wa Fedha"
"Kustaafu na Pensheni"
"Ruzuku"
"Ruzuku"
"Bima"
"Bima ya Magari"
"Bima ya Afya"
"Bima ya Nyumba"
"Bima ya Maisha"
"Bima ya Safari"
"Uwekezaji"
"Bidhaa na Biashara ya Siku Zijazo"
"Sarafu na Fedha za Kigeni"
"Fedha za Uwekezaji kwa Tahadhari Kubwa"
"Fedha za Uwekezaji wa Pamoja"
"Hisa na Dhamana"
"Vyakula na Vinywaji"
"Mapishi na Maelekezo ya Upishi"
"Kubanika na Kuchoma Nyama"
"Mapishi"
"Mlo wa Wasiokula Nyama"
"Mapishi ya Wala Mboga"
"Ulaji vyakula vyenye Lishe bora"
"Wauzaji wa Rejareja wa Chakula na Bidhaa za Kila Siku"
"Michezo"
"Michezo ya Kumbi na ya Kutumia Sarafu"
"Biliadi"
"Michezo ya Ubao"
"Michezo ya Mikakati Dhahania na Sataranji"
"Michezo ya Kadi"
"Michezo ya Kadi Zinazokusanyika"
"Michezo ya Kompyuta na Video"
"Michezo ya Majukwaa na Mapigano"
"Michezo ya Matukio"
"Michezo ya Kawaida"
"Michezo ya Video yenye Ushindani"
"Michezo ya Uendeshaji na Mbio za Magari"
"Michezo ya Kupigana"
"Marejeleo na Maoni ya Michezo ya Video"
"Vidokezo na Udanganyifu katika Michezo ya Video"
"Michezo ya Watu Wengi Zaidi"
"Michezo ya Muziki na Dansi"
"Michezo Inayoruhusu Ubunifu"
"Michezo ya Ufyatuaji"
"Michezo ya Uigaji Matukio"
"Michezo ya Biashara na Matajiri"
"Michezo ya Kujenga Miji"
"Michezo ya Kuiga Maisha"
"Viigiza Magari"
"Michezo ya Spoti"
"Michezo ya Usimamizi wa Spoti"
"Michezo ya Mikakati"
"Kubadilisha Mchezo wa Video na Programu Jalizi"
"Michezo Inayoelimisha"
"Michezo na Shughuli Mahususi kwa Familia"
"Kuchora na Kupaka Rangi"
"Michezo ya Mavazi na Mitindo"
"Mafumbo na Chemshabongo"
"Michezo ya Uigizaji wa Majukumu"
"Mchezo wa Tenisi wa Mezani"
"Michezo ya Vigae"
"Michezo ya Maneno"
"Mapumziko na Mambo Yapendelewayo"
"Maadhimisho"
"Maadhimisho ya Siku za Kuzaliwa na Siku Muhimu Zinazoambatana na Jina"
"Shughuli za Uzamiaji na Upigaji Mbizi"
"Sanaa Inayotumia Vitambaa na Nyuzi"
"Nje ya Nyumba"
"Uvuvi"
"Uwindaji na Ulengaji wa Shabaha"
"Mchezo wa Bunduki Bandia ya Rangi"
"Udhibiti wa Redio na Ufanyizaji Miundo"
"Harusi"
"Nyumba na Bustani"
"Utunzaji wa Bustani"
"Nyumba na Mapambo ya Ndani"
"Vifaa vya Nyumbani"
"Uboreshaji wa Nyumba"
"Ulinzi na Usalama wa Nyumba"
"Mahitaji ya Nyumbani"
"Muundo wa Mlalo"
"Intaneti na Mawasiliano ya Simu"
"Barua pepe na Ujumbe"
"Barua pepe"
"Ujumbe wa Papo Hapo na wa Maandishi"
"Gumzo la Sauti na Video"
"ISP"
"Watoa Huduma za Simu"
"Milio na Mandhari za Simu"
"Mitambo ya Kutafuta"
"Simu Mahiri"
"Mkutano kwa njia ya Simu"
"Programu za Wavuti na Zana za Mtandaoni"
"Huduma za Wavuti"
"Hifadhi ya Wingu"
"Usanifu na Usanidi wa Wavuti"
"Upangishaji wa Wavuti"
"Kazi na Elimu"
"Elimu"
"Uchapishaji na Mikutano ya Kitaaluma"
"Vyuo na Vyuo Vikuu"
"Mafunzo ya Mbali"
"Elimu ya Makuzi ya Watoto Wadogo"
"Chekechea"
"Kusomea Nyumbani"
"Majaribio ya Usaili na Kujipima"
"Rasilimali za Darasani na za Ufundishaji"
"Elimu ya Ufundi na Elimu ya Kujiendeleza"
"Kazi"
"Rasilimali na Mipango ya Kazi"
"Nafasi za Kazi"
"Sheria na Serikali"
"Uhalifu na Haki"
"Ya Kisheria"
"Huduma za Kisheria"
"Habari"
"Habari za Uchumi"
"Habari za Mahali Ulipo"
"Uunganishaji na Ununuzi"
"Magazeti"
"Siasa"
"Habari za Michezo"
"Hali ya Hewa"
"Habari za Ulimwengu"
"Jumuiya za mtandaoni"
"Klipu za Sanaa na GIF Zilizohuishwa"
"Kuchumbiana na Mambo Binafsi"
"Ujumlishaji wa Mipasho na Ualamishaji wa Kijamii"
"Kushiriki na Kupangisha Faili"
"Watoa Huduma za Gumzo na Jukwaa"
"Blogu Ndogo"
"Kushiriki Picha na Video"
"Kushiriki Picha"
"Kushiriki Video"
"Ngozi"
"Programu za Mtandao Jamii na Programu Jalizi"
"Mitandao Jamii"
"Watu na Jamii"
"Familia na Mahusiano"
"Asili na Jinialojia"
"Ndoa"
"Malezi"
"Kuasili"
"Watoto Wachanga na Watoto wenye Umri Kuanzia Mwaka Mmoja hadi Miaka Mitano"
"Usalama wa Intaneti kwa Watoto"
"Mahaba"
"Sayansi Dhahania na Njozi"
"Wanyama na Wanyama Vipenzi"
"Vyakula na Bidhaa za Utunzaji wa Wanyama Vipenzi"
"Wanyama Vipenzi"
"Ndege"
"Paka"
"Mbwa"
"Samaki na Tangi la Kufugia Samaki"
"Wanyama Watambaao na Wanaoishi Majini"
"Madaktari wa Mifugo"
"Mali Isiyohamishika"
"Maeneo na Mashamba Yasiyoendelezwa"
"Mali Zinazomilikiwa kwa Ushirikiano na Maeneo ya Mapumziko"
"Marejeleo"
"Orodha Binafsi na za Biashara"
"Marejeleo ya Jumla"
"Vikokotoo na Zana za Marejeleo"
"Kamusi na Ensaiklopidia"
"Rasilimali za Elimu"
"Jinsi Ya"
"Muda na Kalenda"
"Rasilimali za Lugha"
"Mafunzo ya Lugha za Kigeni"
"Rasilimali na Zana za Tafsiri"
"Ramani"
"Sayansi"
"Uhalisia Ulioboreshwa na Uhalisia Pepe"
"Sayansi za Kibiolojia"
"Jenetiki"
"Kemia"
"Ikolojia na Mazingira"
"Jiolojia"
"Mashine Kujifunza na Utashi wa Kompyuta"
"Hisabati"
"Fizikia"
"Teknolojia ya Roboti"
"Ununuzi"
"Ukusanyaji wa Vitu vya Thamani na Vitu vya Kale"
"Mavazi"
"Mavazi ya Watoto"
"Mavazi Maalum"
"Mavazi ya Wanaume"
"Mavazi ya Wanawake"
"Matangazo"
"Rasilimali za Watumiaji"
"Ofa za Kuponi na Punguzo"
"Mipango na Kadi za Kutuza Uaminifu"
"Usaidizi wa Kiufundi na Marekebisho"
"Maua"
"Kadi za Salamu"
"Bidhaa na Mahitaji ya Sherehe na Sikukuu"
"Tovuti za Ununuzi"
"Spoti"
"Kandanda ya Marekani"
"Kandanda ya Australia"
"Mbio za Magari"
"Besiboli"
"Mpira wa kikapu"
"Kubingirisha tufe"
"Ndondi"
"Ushangiliaji"
"Michezo ya Vyuo"
"Kriketi"
"Kuendesha baiskeli"
"Kuendesha Farasi"
"Michezo Iliyokithiri"
"Kukwea na Kupanda Milima"
"Michezo ya Kubuni Taswira"
"Gofu"
"Sarakasi"
"Mpira wa magongo"
"Kuteleza kwenye Barafu"
"Sanaa ya Kupigana"
"Mbio za Pikipiki"
"Olimpiki"
"Raga"
"Kukimbia na Kutembea"
"Michezo ya Kuteleza kwenye Theluji"
"Soka"
"Kuteleza katika Mawimbi"
"Kuogelea"
"Tenisi"
"Michezo ya Riadha na Uwanjani"
"Voliboli"
"Miereka"
"Safari na Usafirishaji"
"Safari za Kusisimua"
"Usafiri wa Angani"
"Safari za Kibiashara"
"Ukodishaji Magari"
"Meli na Boti Binafsi za Kifahari"
"Safari za Kifamilia"
"Fungate na Mapumziko ya Wenzi"
"Hoteli na Malazi"
"Safari za Basi na Reli za Umbali Mrefu"
"Usafiri wa Bei Rahisi na Ulioandaliwa kwa Muda Mchache"
"Vifaa vya Usafiri na Mizigo"
"Vivutio vya Watalii"
"Fukwe na Visiwa"
"Bustani na Hifadhi za Maeneo"
"Bustani zenye Maudhui Maalum"
"Bustani za Wanyama"
"Wapangaji wa Njia na Trafiki"
"Huduma na Mawakala wa Safari"
"Mwongozo wa Safari na Simulizi za Safari Zilizoambatana na Picha"