"Bluetooth"
"Fikia kidhibiti cha vipakuliwa."
"Huruhusu programu kufikia kidhibiti cha BluetoothShare na kukitumia kuhamisha faili."
"Orodha ya vifaa vyenye bluetooth vilivyoruhusiwa kufikia."
"Huruhusu programu kuorodhesha kwa muda Kifaa chenye Bluetooth kwenye orodha ya vifaa vilivyoruhusiwa, ikiruhusu kifaa hicho kutuma faili kwenye kifaa hiki bila uthibitishaji wa mtumiaji."
"Bluetooth"
"Kifaa kisichojulikana"
"Haijulikani"
"Haijawekwa"
"Hali ya ndegeni"
"Huwezi kutumia Bluetooth kifaa kikiwa katika hali ya Ndegeni."
"Kutumia huduma za Bluetooth, lazima kwanza uwashe Bluetooth."
"Je wataka kuwasha Bluetooth sasa?"
"Ghairi"
"Washa"
"Uhamishaji faili"
"Ungependa kupokea faili inayoingia?"
"Kataa"
"Kubali"
"Sawa"
"Muda ulikatika wakati wa kukubali faili inayoingia kutoka \"%1$s\""
"Faili Zinazoingia"
"Faili kutoka %1$s iko tayari kutumwa: %2$s"
"Kushiriki kwa bluetooth: Inapokea %1$s"
"Kushiriki kwa bluetooth: Imepokea %1$s"
"Kushiriki kwa Bluetooth: Faili %1$s haijapokewa"
"Kushiriki kwa bluetooth: Inatuma %1$s"
"Kushiriki kwa bluetooth: Imetuma %1$s"
"Imekamilika 100%"
"Kushiriki kwa bluetooth: Faili %1$s haijatumwa"
"Uhamishaji faili"
"Kutoka: \"%1$s\""
"Faili: %1$s"
"Ukubwa wa faili: %1$s"
"Inapokea faili..."
"Komesha"
"Ficha"
"Kutoka"
"Jina la faili"
"Ukubwa"
"Faili haijapokelewa"
"Faili: %1$s"
"Sababu: %1$s"
"Sawa"
"Faili imepokelewa"
"Fungua"
"Kwa: \"%1$s\""
"Aina ya Faili: %1$s (%2$s)"
"Inatuma faili..."
"Faili imetumwa"
"Sawa"
"Faili haikutumwa kwa \"%1$s\"."
"Faili: %1$s"
"Funga"
"Sawa"
"Faili isiyojulikana"
"Hakuna programu ya kushughulikia aina hii ya faili. \n"
"Hakuna faili."
"Faili haipo. \n"
"Tafadhali subiriā¦"
"Inawasha Bluetooth..."
"Faili itapokelewa. Kagua maendeleo katika paneli ya Arifa."
"Faili haiwezi kupokewa."
"Ilikomesha upokeaji wa faili kutoka \"%1$s\""
"Inatuma faili kwa \"%1$s\""
"Inatuma faili %1$s kwa \"%2$s\""
"Ilikomesha utumaji faili kwa \"%1$s\""
"Nafasi haitoshi kuhifadhi faili kwenye hifadhi ya USB."
"Nafasi haitoshi kuhifadhi faili kwenye kadi ya SD."
"Nafasi inayohitajika: %1$s"
"Maombi mengi sana yanashughulikiwa. Jaribu tena baadaye."
"Uhamishaji wa faili bado haijaanzishwa."
"Uhamihaji faili unaendelea."
"Faili imehamishwa."
"Maudhui haiauniwi."
"Uhamishaji umekatazwa na kifaa kinacholengwa."
"Uhamishaji umeghairiwa na mtumiaji."
"Suala la hifadhi."
"Hakuna hifadhi ya USB."
"Hakuna kadi ya SD. Weka kadi ya SD ili uhifadhi faili zinazohamishwa."
"Muunganisho haujafanikiwa."
"Ombi haliwezi kushughulikiwa kwa usahihi."
"Hitilafu isiyojulikana."
"Shiriki Bluetooth"
"%1$s Imepokelewa kikamilifu"
"Kutuma kwa %1$s kumekamilika."
"Mahamisho yanayoingia"
"Mahamisho yanayotoka"
"Historia ya uhamishaji haina chochote."
"Vipengee vyote vitafutwa kutoka kwenye orodha."
"Kushiriki kwa bluetooth: Faili zilizotumwa"
"Kushiriki kwa bluetooth: Faili zilizopokelewa"
"{count,plural, =1{# haijafanikiwa.}other{# hazijafanikiwa.}}"
"{count,plural, =1{# imefanikiwa, %1$s}other{# zimefanikiwa, %1$s}}"
"Futa orodha"
"Fungua"
"Futa kutoka orodha"
"Futa"
"Inayocheza Sasa"
"Hifadhi"
"Ghairi"
"Chagua akaunti unazotaka kushiriki kupitia Bluetooth. Bado unatakiwa kutoa idhini ya ufikiaji wowote kwenye akaunti yako wakati unaunganisha."
"Nafasi zilizosalia:"
"Aikoni ya programu"
"Mipangilio ya Kushiriki Ujumbe wa Bluetooth"
"Haiwezi kuchagua akaunti. Nafasi 0 zimesalia"
"Imeunganisha sauti ya Bluetooth"
"Imeondoa sauti ya Bluetooth"
"Sauti ya Bluetooth"
"Haiwezi kutuma faili zinazozidi GB 4"
"Unganisha kwenye Bluetooth"
"Bluetooth itawashwa katika hali ya ndegeni"
"Usipozima Bluetooth, kifaa chako kitakumbuka kuiwasha wakati mwingine utakapokuwa katika hali ya ndegeni"
"Bluetooth itaendelea kuwaka"
"Kifaa chako kitaendelea kuwasha Bluetooth katika hali ya ndegeni. Zima Bluetooth iwapo hutaki iendelee kuwaka."
"Wi-Fi na Bluetooth zitaendelea kuwaka"
"Kifaa chako kitaendelea kuwasha Wi-Fi na Bluetooth ukiwa katika hali ya ndegeni. Zima Wi-Fi na Bluetooth ikiwa hutaki ziendelee kuwaka."
"Bluetooth imewashwa tena"
"Unaweza kubadilisha hali hii wakati wowote katika Mipangilio"
"Mabadiliko ya kiotomatiki kwenye hali ya Bluetooth"